Habari

RICH RICHIE ATAKA WASANII WAACHWE HURU ILI KUPATA UHALISIA

on

MKONGWE wa Bongomovies, Single
Mtambalike “Rich Richie” amesema umefika wakati sasa wasanii kuwa huru katika kazi zao
ili waweze kuigiza kwa uhalisia wa matukio husika.
Alisema kuwa wasanii wamekuwa
wakishindwa kuonyesha vipaji vyao kutokana na wasimamizi wa kazi za sanaa
kufungia baadhi ya kazi zao kwa madai kwamba hazina maadili.
Richie alisema kuwa hatua hiyo
inawashusha na kupoteza uhalisia wa matukio wanapokuwa wakiigiza hivyo kuna
haja ya kuangalia upya ili wawe huru kufanya kazi kwa kujinafasi.

“Wasanii tuwe huru ili tupate
uharisia kwani sio kila Movies inaangaliwa na familia, wanachotakiwa wao
ni kuweka tu viwango kwamba filamu fulani ni ya miaka 18… hii ni kazi lakini pia
ni biashara,” alisema Richie.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *