SENETA WA MSONDO NA MWIMBAJI WA SIKINDE WANAVYODHIRISHA HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA


MWIMBAJI na kiongozi wa Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya Ukae” Abdallah Hemba (kushoto) akiwa meza moja na seneta wa mahasimu wao - Msondo Music Band Abdulfareed Hussein.

Wawili hao walikutana hivi karibuni kwenye ukumbi wa Mango Garden Kindondoni na kudhihirisha kuwa licha upinzani mkubwa wa bendi hizo mbili, lakini wasanii na viongozi wa Msondo na Sikinde ni marafiki wakubwa wanapokuwa nje ya jukwaa.

No comments