SERGIO BOSQUETS KULAMBA MKATABA MPYA BARCELONA... sasa kubaki Camp Nou hadi mwaka 2021

KIUNGO Sergio Bosquets anatarajiwa kulamba mkataba mpya katika klabu yake ya Barcelona, utakaomfanya kuendelea kubaki Camp Nou hadi mwaka 2021.


Mbali na hilo, imeripotiwa kuwa Barca wako tayari kumwongezea miaka mingine miwili pindi mkataba wake huo utakapofikia tamati.

No comments