SHAMSA FORD AWATIA MOYO WANAWAKE WANAOLEA WATOTO BILA BABA ZAO

MWANADADA mkali wa filamu za Kibongo, Shamsha Ford amewatia moyo baadhi ya wanawake ambao wanalea watoto wao pekee yao bila mzazi wa kiume kwa kwaambia kuwa ni jambo linalowezekana.

Shamsa alisema licha ya kuolewa lakini bado ataendelea kuwa pamoja na wanawake wale waliokuwa wakilea watoto wao wenyewe bila ya kushirikiana na wanaume.


Alisema, hao wanapitia matatizo mengi hivyo ni vyema waendelee kusaidiana kimawazo na kwenye matatizo ikiwa ni pamoja kutiana moyo kwa changamoto mbalimbali wanazopitia.

No comments