SHILOLE ATAKA ASIPANGIWE MWANAUME WA KUTOKA NAE

SHILOLE ambaye amekuwa na vimbwanga vya kila siku kwenye mitandao ya kijaamii na skendo za kutoka na vijana walio chini ya umri wake, amefunguka na kusema asipangiwe ni nani wa kuwa naye.

Shilole alisema kuwa mashabiki wanahitaji yeye haoni haja kuwa na mzee kwa kuwa hawezi kumpetieti na kuwataka wamuache achague anachotaka kwa vile nyumbani yeye ni Zuwena na jukwaani ni Shilole.


“Haya ni maisha yangu nikiwa nyumbani mimi ni Zuwena na nikiwa kwenye TV ni Shishi, maisha yangu mimi ya nyumbani au maisha yangu binafsi wao yasiwahusu ninaangalia upendo wangu upo wapi,” alisema na kuongeza: 

"Nawapenda kwa sababu wanajua kunipetipeti."

No comments