SHILOLE ATAMANI KUIOMBA BASATA KIBALI CHA KUMWAGA RADHI JUKWAANI KWENYE SHOO ZAKE

BAADA ya msimu wa Fiesta kuanza, msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini, Zuwena Mohammed "Shilole" amesema anatamani kuiomba BASATA ruhusa ili amwage radhi jukwaani, hii ni kutokana na madai kuwa shoo alizofanya hivi karibuni zimeonekana kupwaya.


Kutokana uwepo wa madai juu ya msanii huyo kushidwa kufanya vizuri na kukonga mioyo ya mashabiki wake awapo jukwaani, msanii huyo ametamani kuomba kibali BASATA ili aweze kufanya shoo kwa uhuru ikiwemo kumwaga “radhi” kwani hivi sasa sheria zinambana.

No comments