"SISHUGHULIKI NA TETESI ZA KUTAKIWA KUINOA ARSENAL" KOCHA EDDIE HOWE ASISITIZA

KOCHA wa klabu ya Bournemouth, Eddie Howe amesisitiza kuwa akili yake iko kwenye kibarua chake cha sasa klabuni hapo na si kuhusu tetesi za kutakiwa kuinoa Arsenal.

Baadhi ya magazeti yamemtaja Howe kumrithi Mfaransa Arsene Wenger.

No comments