STEFANE SESSEGNON KUJIUNGA NA BURLYNEI JANUARI

FOWADI Stefane Sessegnon anatarajiwa kujiunga  na klabu ya Burlynei wakati wa usajili wa dirisha dogo la Januari.

Nyota huyo wa zamani wa West Brom hana timu baada ya kutemwa na Hawsonrith mwishoni mwa msimu uliopita.

No comments