ZIPO tetesi kuwa Tottenham Hotspurs wameanza mazungumzo na kampuni ya Qatar Investment Authority ili iifanyie ukarabati wa uwanja wa White Hart Lane.


Katika kukwepa gharama za ujenzi, Spurs inataka uwanja huo ubadilishwe jina na kuitwa kwa jina la wawekezeji hao na wanatamani kuanza kuanza kuutumia msimu wa mwaka 2018/19.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac