TOTTENHAM YAJIPANGA KUMNASA KIUNGO MILAN BADELJI WA FIORENTINA

KLABU ya Totenham imejipanga vilivyo kuinasa saini ya kiungo wa Fiorentina Milan Badelji mwenye umri wa miaka 27.


Badelji akifukuziwa na AC Milan kwenye dirisha la usajili wa majila ya kiangazi lakini sasa Spurs inataka kumlreta kwenye Ligi Kuu England.

No comments