VELANDA WAJITOSA SOKONI KUSAKA KOCHA MWINGINE BADALA YA ANDRE VILLAS BOAS


KWA mujibu wa mwandishi wa Sky Sport, Guillem Balague klabu ya Valenda iko sokoni kusaka kocha mwingine na jina la kocha wa zamani wa Chelsea, Andre Villas Boas likitawala makocha wengine ambao wapo kwenye orodha ya wanaosakwa na Valensia ni Rudi Garcia aliyekuwa akiinoa As Roma Ruben Baraja na Roberto Mancini.

No comments