WAIGIZAJI wa kike wenye kunata “masistaduu” kutoka ndani ya Nollywood, wamejinasibu kuwa hivi sasa wanataka kuitangazia dunia ubora wa maumbile ya Kiafrika.

Wanyange hao wameuambia mtandao unaojikita na masuala ya uigizaji kuwa wamebaini hawajaitumia vya kutosha nafasi ya umaarufu wao kuitangazia dunia uzuri.


Tumebaini kuwa kutumia mkorogo kwa baadhi ya watu maarufu wakiwemo wasanii na kuweka wigi za nywele zisizokuwa za Kiafrika ni kuzidi kuikashifu ngozi yetu jambo ambalo si kweli, tunadhani tukisimama kidete kama wasanii dunia nzima itawaheshimu Waafrika,” alisema mmoja wao.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac