WAKALA WA POGBA AFICHUA ZIDANE ALIMWITAJI MTEJA WAKE ATUE REAL MADRID

WAKALA wa Paul Pogba Mino Raiola amebainisha kuwa kocha Zinedine Zidane Alimuhitaji sana kiungo huyo lakini uongozi wa Real Madrid uliumkaushia hadi akatua Man United.

No comments