WES BROWN ACHEKELEA KUTUA BLACKBURN ROVERS

BEKI wa zamani wa Manchester United, Wes Brown ameeleza kufurahishwa na uhamisho wake wa kutua Blackburn Rovers akiamini atapata nafasi ya kucheza mara kwa mara.


Nyota huyo amejiunga na Rovers baada ya kutemwa na Sunderland msimu uliopita.

No comments