KLABU ya Westham United itatoa ofa kwa kiungo Cesc Fabregas kama atashindwa kupata nafasi ya kudumu chini ya kocha wake, Antonio Conte.


Wagonga nyundo hao wa London wanafuatilia maisha ya Fabregas ndani ya Chelsea ambapo kiungo huyo amekuwa na uwezekano hafifu wa kuanza kikosi cha kwanza msimu huu tangu kutua kwa kocha huyo wa zamani wa Juventus.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac