ZIDANE AANZA VIZURI REAL MADRID NA KUMFUNIKA GUARDIOLA

KOCHA Zinedine Zidane ameanza vizuri zaidi Real Madrid akishinda mechi 21, sare mbili na kipigo kimoja akiifunika rekodi ya Pep Guardiora aliyeanza Barcelona kwa kushinda mechi 19, sare tatu na vipigo viwili katika mechi 24 za kwanza La Liga.

No comments