AC MILAN WAMNYATIA STRAIKA MICHY BATSHUAYI WA CHELSEA

MABINGWA wa zamani wa Seria A, AC Milan wameonyesha nia ya kumsajili straika wa Chelsea Michy Batshuayi.


Milan wanataka kumnunua staa huyo wa zamani wa Marseille na mpango huo unatarajiwa kukamilika wakati wa dirisha dogo la usajili la Januari.

No comments