AC MILAN WAMWINDA KIUNGO OSCAR WA CHELSEA

KIUNGO wa Chelsea Oscar anawindwa na Ac Milan ambao wanapanga kubomoa kikosi kizima na kukijenga Upya baada ya klabu kununuliwa na kampuni ya China.

No comments