AC MILAN YAWINDA "KAPI" LA JOSE MOURINHO... ni mshambuliaji Memphis Depay

MSHAMBULIAJI aliyekosa nafasi chini ya kocha Jose Mourinho, Memphis Depay yuko katika rada za AC Milan ya Italia inayojaribu kujipanga upya.


Depay aliyesajiliwa na kocha aliyetimuliwa, Louis Van Gaal anaishia kusugua benchi chini ya United iliyo chini ya Mreno Jose Mourinho.

No comments