ADAM LALLANA, DEJAN LOVREN KUPIGWA KITANZI LIVERPOOL

TIMU ya Liverpool inasemekana kuwa na mpango wa kuwatia kitanzi nyota wake wawili ili wasiweze kuondoka.


Kwa mujibu wa gazeti la Metro, nyota hao ambao watatiwa kitanzi ni Adam Lallana, Dejan Lovren, ambaye anaonekana kuwa kama mchezaji mpya tangu Jurgen Klopp alipochukua mikoba ya aliyefukuzwa, Brendan Rodgers Oktoba, mwaka jana.

No comments