ANDER HERRERA ATHIBITISHA ZLATAN IBRAHIMOVIC ANA MZUKA ZAIDI MAN UNITED

LICHA ya Jumatatu kutimiza umri wa miaka 35, Zlatan Ibrahimovic ndie mchezaji mwenye mizuka zaidi kikosini Manchester United akisukuma wachezaji wajifue zaidi mazoezini, kwa mujibu wa kiungo wa timu hiyo, Ander Herrera.

No comments