ANDERSON AFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA KWA KUMBUTUA NGUMI MCHEZAJI MWENZAKE

KIUNGO wa zamani wa Manchester United, Anderson amefungwa kwa muda usiojulikana na klabu yake ya Internacionar ya Brazil baada ya kumpiga ngumi ya uso mchezaji mwenzake na kumwaga damu mdomoni baada ya kupishana kauli wakiwa mazoezini.

No comments