ANTOINE GRIEZIMANN KUXCHUKUA MIKOBA YA ROONEY MANCHESTER UNITED

KLABU ya Manchester United imepanga kumsajili mshambuliaji mahiri wa Atletico Madrid ili kurithi mikoba ya nahodha wao, Wayne Rooney.


Mshambuliaji huyo mwenye miaka 25, atatua Old Trafford katika kipindi cha usajili wa Januari, mwakani. Griezmann amekuwa shujaa wa Atletico Madrid katika kupachika mabao na United wanaamini ndiye mshambuliaji anayefaa kwa sasa.

No comments