ARSENAL YACHEMKA KWA ELSEID HYSAJ WA NAPOLI

IMERIPOTIWA kuwa Arsenal wameshindwa kumsajili staa wa Napoli, Elseid Hysaj.


Kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo, Hysaj ameshasaini mkataba mpya na waajiri wake Napoli.

No comments