AUBAMEYANG ABAINISHA BABA YAKE ALIFANYA MAZUNGUMZO NA MANCHESTER CITY LAKINI "HAKIKUELEWEKA"

STRAIKA wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang amebainisha kuwa baba yake alifanya mazungumzo na Manchester City lakini hakuna kilichoendelea.

No comments