AUBAMEYANG ATANGAZA KUWA TAYARI KUSEPA BORUSSIA DORTMUND

FOWADI wa Borussia Dortmund, Pierre Emerick-Aubameyang ametangaza kuwa yuko tayari kuondoka katika klabu hiyo.


Taarifa zimedai kuwa Dortmund wako tayari kumwacha staa huyo mwenye umri wa miaka 27 ambaye amewafungia jumla ya mabao 87 katika michezo 152 aliyowachezea wajerumani hao.

No comments