AUBAMEYANG KUCHOMOKA BORUSSIA MWISHONI MWA MSIMU... Manchester City, Chelsea zatajwa kumwania

STRAIKA Pierre-Emerick Aubameyang aondoka Borussia Dortimund mwisho wa msimu huku akiwindwa na klabu za Manchester City na Chelsea.

No comments