BALOTELLI "ALIBAMIZA" GARI ALILOPEWA ZAWADI NA MINO RAIOLA

BAADA ya Mario Balotelli kufunga magoli mawili dhidi ya Olympique Marseile, Mino Raiola alitimiza ahadi yake ya kumwachia straika huyo wa Nice gari lake aina ya Bentley akatanulie lakini Muitaliano huyo alienda kuligonga akitokea kula bata wakala huyo amebainisha.

No comments