BARNABA ASISITIZIA DHAMIRA YAKE YA KUJENGA KANISA KUMSHUKURU MUNGU

MWANAMUZIKI Barnaba ameweka wazi dhamira yake ya kujenga kanisa ambapo amesema kuwa akipata pesa za kutosha atajenga kanisa.


Barnaba ambaye pia huwaandikia nyimbo wasanii wa njili alisema atafanya hivyo kama shukrani kwa Mungu ambaye amekuwa akimpigania katika kazi zake.

No comments