BAYERN MUNICH WASUKA MIPANGO YA KUWANYANG'ANYA LIVERPOOL JURGEN KLOPP

UMEISIKIA hii? Mabingwa wa soka wa Ligi Kuu ya Ujerumani, Bayern Munich wameanza kufanya mipango ya kumnasa kocha wa Liverpool ya England, Jurgen Klopp.


Bayern Munich wanamtaka Klopp kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi, lakini tayari Liverpool imeshaweka wazi msimamo wake kuwa haitamruhusu kocha huyo aondoke hadi mkataba wake utakapomalizika.

No comments