BEKI NATHANIEL CLYNE AMMWAGIA SHUKRANI KLOPP KWA KUIFANYA LIVERPOOL KUJIAMINI

BEKI Nathaniel Clyne amesema Liverpool ya sasa inajiamini kwamba ina uwezo wa kuizamisha timu yoyote duniani, shukrani kwa kazi nzuri ya kocha Jurgen Klopp.

No comments