BEKI PEPE WA REAL MADRID MBIONI KUTUA CHELSEA

BEKI kisiki wa Real Madrid, Pepe ameanza kuangalia uwezekano wa kujiunga na wababe wa magharibi mwa London, Chelsea.


 Imeelezwa kuwa mazungumzo ya kupewa mkataba mpya wa Madrid yamekwama.

No comments