BEKI RIGOBERT SONG SASA YUKO FITI... asafirishwa kwenda Ufaransa kuendelea kupona

BEKI wa zamani wa Liverpool na Cameroon, Rigobert Song, 40, ametoka kwenye “coma” alikolazwa kwa siku mbili, ameondolewa mashine ya kupumulia, yuko poa na amesafirishwa kwenda Ufaransa kuendelea kupona baada ya kuanguka na kuzimia nyumbani kwake Yaounde Jumapili.

No comments