BRENDAN RODGERS: KOLO TOURE AMEUMIZWA NA KICHAPO CHA 2-0 DHIDI YA BORUSSIA MONCHENOLADBACH

KOCHA wa Celtic, Brendan Rodgers amesema beki wake Kolo Toure ameumizwa na kichapo walichokipata cha mabao 2-0.

Celtic walikumbana na kipigo hicho katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Borussia Monchenoladbach.


Makosa ya Toure yalisababisha Wajerumani hao kujipatia mabao mawili kupitia kwa Lars Stindl na Andre Hahn.

No comments