BURNLEY YAJIPANGA KUMWONGEZEA MKATABA MPYA MICHAEL KEANE

KLABU ya Burnley imeanza mazungumzo ya kumpa mkataba mpya beki wake wa kati, Michael Keane.

Keane mwenye umri wa miaka 23 amebakiza miaka miwili katika mkataba wake wa sasa na Burnley.

No comments