Habari

CAVANI AFIKISHA GOLI LA 13 KATIKA MECHI 10 LIGI KUU UFARANSA

on

STRAIKA wa PSG, Ednson Cavani
amefikisha magoli 13 katika mechi zake 10 zilizopita baada ya majuzi kutupia
goli la ushindi wa 1-0 dhidi ya Lille katika Ligi Kuu Ufaransa.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *