CHELSEA WAANZA KUMNYATIA WINGA FELIPE ANDERSON WA LAZIO

MATAJIRI wa London Chelsea wametajwa kumfuatilia kwa ukaribu winga wa Lazio, Felipe Anderson.


Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil mwrenye umri wa miaka 23 alikuwa akifukuziwa na Manchester United mwaka uliopita.

No comments