IMEELEZWA kuwa matajiri wa magharibi mwa London, Chelsea wanataka kumsajili staa wa Athletic Bilbao, Oscar de Marcos.


Tarifa zimedai kuwa De Marcos anatarajiwa kutua Stanford Bridge wakati wa dirisha la usajili wa Januari.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac