CHICHARITO AWINDWA TENA NA TIMU ZA LA LIGA

STRAIKA wa timu ya Bayer Leverikusen, Javier Hernandez maarufu kwa jina la “Chicharito” amesemekana kuwindwa tena na klabu za Ligi Kuu ya Hispania La Liga.


Shirika la habari nchini humo AS liliripoti kuwa timu za Valencia na Sevilla kwa sasa zinapigana vikumbo zikimwania nyota huyo raia wa Mexico ili kuhakikisha zinapata huduma yake wakati wa usajili wa majira ya baridi yajayo ya Januari, mwakani.

No comments