CONTE APANGA KUMUACHA KURT ZOUMA ACHEZEE U-23

KOCHA wa Chelsea Antonie Konte amesema hataharaki kumrejesha uwanjani beki Mfaransa, Kurt Zouma aliyevunjika mguu miezi tisa iliyopita na badala yake anamuacha kwanza achezee timu yao yaU-23.

No comments