" CRISTIANO RONALDO HAJAFULIA, MTAMSOMA TU" ASEMA KIPA IKER CASILLAS

Kipa wa zamani wa Real Madrid, Iker Casillas amemtetea Cristiano Ronaldo kwa kuanza vibaya msimu wa 2016/17 akisema straika huyo atarejea haraka katika makali yake na “Watamsoma."

No comments