DIDIER DESCHAMPS AWAONDOA WASIWASI MANCHESTER UNITED KUHUSU POGBA... ila awataka kutotarajia makubwa ya haraka kutoka kwake

KOCHA wa timu ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema hana wasiwasi na kiwango cha Paul Pogba lakini amewataka Manchester United wasitarajie makubwa sana kwa haraka kutoka kwa kiungo huyo.

No comments