DIEGO OSORIO ABAMBWA NA "UNGA" KWENYE CHUPI AKIJIANDAA KUPANDA NDEGE

NYOTA wa zamani wa timu ya taifa ya Colombia, Diego Osorio, 46, anashikiliwa na polisi baada ya kunaswa akiwa amebeba kilo moja ya cocaine kwenye chupi yake wakati akitaka kupanda ndege kwenda Madrid.

No comments