DIMITRI ASEMA USTA WAKE HAKUUPATA KILELEMAMA... asema amevuka mito na milima mingi

JINA lake limesikika sana wakati wa fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, maarufu kama "Euro 2016" zilizofanyika nchini Ufaransa mwaka huu - huyu ni Dimtri Payet.

Lakini nyota huyu wa timu ya taifa la Ufaransa amekuwa maarufu wa wakati mwingi ingawa kila anayejua amesema wazi kwamba Payet amenoga zaidi katika Euro kuliko mahali popote pale.

Hata hivyo Payet amesema kwamba hadi amefikia mahali alipo sasa amepitia katika miamba mingi, amevuka mito na milima hadi kuwa staa mkubwa leo.


No comments