EBUBE NWAGBO AWAONJESHA MASHABIKI LADHA YA KAZI YAKE MPYA

MSANII wa kike anayetamba katika Nollywood Ebube Nwagbo amewaonjesha mashabiki wake uhondo uliopo kwenye kazi yake mpya.


Ebube aliiachia trela na kava la kazi yake hiyo mpya kwenye mtandao wa Twitter akisema hiyo ni ofa maalumu kwa mashabiki wake.

No comments