FABRIZIO RAVANELLI AMWONDOA BALOTELLI MBO ZA TUZO YA BALLON D'OR

MSHAMBULIAJI wa zamani wa kimataifa wa Italia, Fabrizio Ravanelli anaamini Mario Balotelli hakaribii hata kidogo kutwaa tuzo ya Ballon d’Or.

Ravanelli amedai kuwa licha ya Muitalia huyo kuanza vizuri katika klabu yake ya Nice, asijisumbue kuipigia hesabu tuzo hiyo.


“Hicho ndicho Balotelli anachopaswa kukifahamu kuwa bado hana ubavu wa kupata Ballon d’Or, kwa sasa bado yuko mbali sana kupata,” alisema Ravanelli.

No comments