FRANCESCO TOTTI ADAI REAL MADRID WALIHITAJI HUDUMA YAKE MWAKA 2003 LAKINI WALIMSHINDWA

MKONGWE wa klabu ya Roma, Francesco Totti ameibuka na madai kuwa aliwahi kutakiwa na Real Madrid mwaka 2003.


Hata hivyo Totti alisema kuwa Madrid walishindwa kufikia matakwa yake.

No comments