GABO ZIGAMBA ATWAPA SOMO WASANII CHIPUKIZI

MWIGIZAJI nyota wa filamu za Bongomuvi, Salim Ahmed “Gabo” amewataka wasanii chipukizi kufanya kazi kwa juhudi ili kupata mafanikio kwenye tasnia hiyo.

Gabo alisema kuwa wasanii chipukizi wanahitajika kuvionyesha vipaji vyao bila ya woga ili kupata mafanikio ya kazi wanazozifanya.


Aidha, aliwataka wasanii chipukizi kufanya kazi kwa juhudi bila woga wa aina yoyote na kufikia malengo.

No comments