GIGGS AITAKA MANCHESTER UNITED IMZOEE KOCHA JOSE MOURINHO

GWIJI wa Manchester United, Ryan Giggs amesema staili ya uchezaji ya mashetani wekundu chini ya Jose Mourinho ni jambo ambalo klabu lazima ilikubali na kulizoea kama wanataka kupigania makombe msimu huu.

No comments