GIGGS AWAPONDA IBRAHIMOVIC, MARTIAL KUBADILISHANA JEZI NA HAZARD, KANTE

RYAN Giggs amewashukia wachezaji wa Manchester United kwa “Kuchekesha” baada ya filimnbi ya mwisho ya kipigo cha 4-0 dhidi ya Chelsea, Ibrahimovic alionekana akibadilishana jezi na Hazzard wakati Martial alitoka akikumbatiana na Mfaransa Mwezie N’Golo Kante.

No comments